Msaada. Procedures jinsi ya kufungua kituo cha msaada na ushauri wa kisheria

Kama hujui hata taratibu za kufungua kituo cha ushauri wa kisheria utawezaje kuwashauri watu wenye issues nzito za kisheria? huwezi kua mshauri kwa style hiyo.nakushauri fanya kazi nyingine uwezo wa kuwashauri watu ktk mambo ya sheria huna ukifanya hivyo utawaingiza watu kwenye matatizo.
 
Huwa napatwa ukakasi nikiskia mwanasheria/wakili msomi.
Sasa kidogo naelewa wengine wasio wasomi ndio kama huyu.
 
Kama hujui hata taratibu za kufungua kituo cha ushauri wa kisheria utawezaje kuwashauri watu wenye issues nzito za kisheria? huwezi kua mshauri kwa style hiyo.nakushauri fanya kazi nyingine uwezo wa kuwashauri watu ktk mambo ya sheria huna ukifanya hivyo utawaingiza watu kwenye matatizo.
Mkuu kumbuka yeye kaomba ushauri wa taratibu za kufungua kituo na sio utaratibu wa kuwashauri au kuwapa watu msaada wa kisheria!
Ikumbukwe hivi vituo vinafunguliwa kama ofisi za kibiashara, hivyo hapo anaulizia taratibu za leseni na usajili na wala si namna kutoa msaada wa kisheria.
 
Back
Top Bottom