Msaada:procedures za kuuza vitunguu nairobi

Msaada:procedures za kuuza vitunguu nairobi

Sanjally

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
97
Reaction score
17
Wadau 2saidiane namna ya kuuza vitunguu nairobi,kama kuna mtu anafanya biashara hiyo au mwenye ideas kuhusu hiyo mambo.
 
mkuu .... ukihitaji PP Mesh bags kwa ajili ya ku-pack vitunguu na agro-products tuwasiliane ... ni-pm
 
Wadau 2saidiane namna ya kuuza vitunguu nairobi,kama kuna mtu anafanya biashara hiyo au mwenye ideas kuhusu hiyo mambo.

hicho kiyunguu kiko wapi? maana kuna wafanyabiashara wa Kenya wanaokuja kununua vitunguu Tz, na kama unataka kusafirisha mwenyewe...inabidi uwe vizuri kipesa...na uwe na mru unayewasiliana nae (Dalali/ au trader) huko Nairobi..othewise itakusumbua..kwa msaada zaidi tuwasiliane au wacheki jamaa wa Farm Concern International..
 
Back
Top Bottom