Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushapotezanaHabari za Buigiri? Gerald hajambo?
Haha hha haaa kuna jamaa zangu wapo Dodoma wanalima vitunguu walikuwa wanatafuta soko Nairobi nikajua wewe ni mmoja waoushapotezana
Wadau 2saidiane namna ya kuuza vitunguu nairobi,kama kuna mtu anafanya biashara hiyo au mwenye ideas kuhusu hiyo mambo.