Msaada: Program ya invoice na finances

Msaada: Program ya invoice na finances

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Wakuu habari za majukumu?

Naomba msaada jina la App inayotumika kwaajili ya mauzo.. Yaani itakayo nisaidia kwenye kujua mauzo yangu.. Kutoa invoice na kujua faida kila siku, wiki na mwezi. Pia kujua vile vimashine vya kutoa invoice na utaratibu wake kuvitumia.

Nitashukuru!
 
Back
Top Bottom