JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,957 Nov 23, 2013 #1 Kuna hizi pump unaweka mpira kwenye maji halafu unakuwa unakanyaga au kukandamiza kwa mikono kuvuta maji toka kwenye kajisima, nimewahi kuziona wakati fulani. Bajeti yangu ni ndogo haizidi laki 1, msaada pls.
Kuna hizi pump unaweka mpira kwenye maji halafu unakuwa unakanyaga au kukandamiza kwa mikono kuvuta maji toka kwenye kajisima, nimewahi kuziona wakati fulani. Bajeti yangu ni ndogo haizidi laki 1, msaada pls.