Msaada, pump ya kuvuta maji kwa miguu au mikono.

Msaada, pump ya kuvuta maji kwa miguu au mikono.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Kuna hizi pump unaweka mpira kwenye maji halafu unakuwa unakanyaga au kukandamiza kwa mikono kuvuta maji toka kwenye kajisima, nimewahi kuziona wakati fulani. Bajeti yangu ni ndogo haizidi laki 1, msaada pls.
 
Back
Top Bottom