Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Ni kuamua tu,me nna siku ya 21 sijapiga na niko sawa na nlikua masterOk ok pole sana ndugu yangu kwa yaliyokusibu
Kila la kheri
Naomba kuwasilisha.
Wee kipi bora? Nyeto au gono na ukimwi?Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
🤣🤣🤣🤣Aisee1.ukiweza kufuta chrome.,tik too na Instagram Punyeto inakwenda na pornography pamoja
2.anza kutafuna kitunguu swaumu tangawizi na asali ku restore ulivyopoteza
3.usiwe na wasiwasi haiathiri Sana kwa miaka kumi ijayo Bado utaweza kuwalamba wasichana
4.ukianza kupiga punyeto mkumbuke Bibi yako au mama yako ulikotoka...huwafanyii haki...
5.shetani wa punyeto huyu hapa huwa anasubiria ukojoe achekeView attachment 2347516
Mwanaume lazima uguse nyeto hata kidogo bhana. Sina uhakika kuhusu hilo ulilobold.Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine?
Mkuu njoo DM,nikushauri na nikupe tiba ambayo utapona,Mimi Dr by professional na vijana wengi hili swala linasumbua sanaSalamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Huko DM hutaomba posho?Mkuu njoo DM,nikushauri na nikupe tiba ambayo utapona,Mimi Dr by professional na vijana wengi hili swala linasumbua sana
Kuacha ngumuSalamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Umenena mkuuPalipo MUNGU hawezi akakaa shetani ,
Nimeteseka kwa hili tatizo toka 2011 , na kanuni niliyotumia ndo hiyo
Tumia siku nzima kusikilaza Gospel Songs na kusoma Biblia , futa kila bongofleva coz itakuvuta polepole hadi kwenye tukio
Ukweli unachokiona katika p*rn na punyeto siyo reality ya mapenzi, lile ni shetani na Baada ya tendo linakupa hofu , stress , negative thought na hamu ya kutaka kujiua
Kesha , funga , soma biblia sana, nenda youtube tafuta makanisa ya online eg: edu educhukwu - atakua role model wako wa ujana , sikiliza worship songs na praise : sanasana za Nigeria
Ukitaka ku-Fail , hili shetani la punyeto uende kupigana nalo physical . Hutoweza kushilinda eti sijui kwa kufanya mazoezi , kukakaa karibu na watu e.t.c