Msaada, punyeto inanisumbua sana

Msaada, punyeto inanisumbua sana

Mtoa mada si kweli Punyeto itakufanya usipate mtoto, wala itakuondolea nguvu za kiume.

Scientifically proven Punyeto inaimarisha mbegu za uzazi (Usifanye punyeto siku chache kabla ya kukutana na mwenza wako),

Punyeto is safe kabisa na mtu anayefanya punyeto kila siku hana tofauti na anayefanya mapenzi kila siku.

jambo baya la kuangalia ni addiction yake (since it always free) inaweza kukufanya upoteze uwezo wako kuconcetrate
 
Hii shida ya punyeto kwa vijana wa sasa ni kubwa sana. Na kuna usiri mkubwa sana katika kuijadili ila ukweli watumiaji ni wengi sana wa huu uraibu na ni kwa rate kubwa sana.

Kimsingi, uwepo wa uraibu(addiction) wa punyeto ( masterbation) katika jamii yetu ya vijana wa sasa ni matokeo ya moja kwa moja ya kukosekana misingi ya kuwaandaa vijana na mabinti kwaajiri ya ndoa.

Maisha ya ndoa huuweka mwili katika hali ya kupambana na vishawishi vya kingono na kuukeep busy na shughuli za kifamilia, kijamii, na pia kutafakari kuhusu uzalishaji wa mali na uwekezaji kwaajiri ya familia na jamii yako.

Sasa haya maisha ya sasa kuna msukumo mkubwa sana wa kuidhoofu taasisi Ndoa na kuifanya ionekane kama kero kwa wahusika yet.... wahusika .... hawa hawa wahusika wanataka kupata benefits zinazopatikana kwenye ndoa kama upendo, kujaliwa, kusikilizwa, mahitaji ya kimwili na akili kama kukumbatiwa, kubembelezwa, kununuliwa Mavazi, kupewa pocket money, etc.

Ni muda sasa viongozi, jamii na taasisi wakatambua madhara makubwa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi katika eneo la mahusiano maana miaka hii ya tisini kuja elfu mbili hata watu wenye mfadhaiko na changamoto za kisaikolojia wanaongezeka kwa kasi sana ukilinganisha na miaka ya nyuma huku mitaani.

Unakutana na mtu ila hayupo sawa sawa. Anawasiwasi, ana hasira za hovyo kwenye mambo madogo ya kupuuza tu, ana majibu yasiyo ya heshima, anafanya umalaya kama kitulizo cha akili au kujikimu etc. Haya yote ni matokeo ya msingi mbovu wa eneo la ndoa. Ndoa ndio taasisi nambari moja ya taifa au jamii yoyote Duniani. Ukiidhoofisha jiandae kutengeneza misukule kwenye Jamii na taifa kwa ujumla.

Watoto watakaozaliwa nje ya ndoa au ndani ya ndoa za mifarakano wengi watakuwa na issues mbali mbali za kisaikolojia ikiwemo Traumatized minds ambazo zitawafanya washindwe kuwa sehemu ya raia wazuri wataanza kuishi kwa mifumo yao wanaoijua.


Mfano unakutana na binti anasema mimi sitaki kuolewa ila nataka nipate watoto wangu tu nilee mwenyewe jua tatizo hilo hapo mbele ya macho yako.

Ukiona binti analala na mume wa mtu bila kujali madhara ya kuvunja ndoa za watu shida hiyo hapo mbele yako.

Ukiona kijana anazaa hovyo watoto halafu hataki kuanzisha familia na wanawake ana zaa nao jua shida hiyo hapo.

Ukiona kijana anatesa wanawake zake kwa vipigo, hasira hasira, anabaka au kulawiti watoto wadogo shida hiyo hapo mbele yako.

Ukiona rushwa imejaa kila eneo then jua uozo umeanza ndani ya familia kuwa na misingi ya tamaa katika malezi ya watoto.

So nikirudi kwenye mada na kujikita hapa kwenye eneo la punyeto, ni vema tukafahamu hii ni vita ya akili na roho. Punyeto ni ishara ya kukosekana kwa uwepo wa spirit ya kike katika maisha ya mwanaume.

Unaweza kuoa na ukawa na mke mzuri tu ila ukashindwa kufurahia nae mgegedo sababu ndani ya nafsi, akili na roho yako kuna gepu kubwa sana la kukosekana mwanamke ndani ya maisha yako.

Vijana wengi wanakaa boarding school hadi wanamaliza chuo hii. Muda wote huu wakosa kujenga bondi na kuwalewa wanawake nje ya Sex na ngono.

Mwanamke ni nusu ya mwanaume. Uwepo wake unajaza nafasi ya uhitaji wa kiroho wa mwanaume. Ukiwa na mwanamke ambaye unampenda na anakupenda anakujali na unajua kabisa kiasi kwamba asubuhi ukiwa unatoka kwenda mihangaikoni mkitazamani anakuonea huruma kuwa unaenda kuteseka na wewe unamuonea huruma kumuacha pekee yake kwa masaa kadhaa.

Nafsi yako ikijazwa na mahaba na uwepo wa mwanamke ule muda wa kuwaza ngono, kuwaza kujichua huwa unakosekana maana akikukumbatia upweke na ashiki za kingono zote zinakuachia haraka kama mtu aliyemeza Diclofenac kutibu maumivu ya kichwa na mwili.

Sasa wengi wa vijana wanaupweke sana sababu hakuna mabinti wanaotaka kuja kuishi nao katika nyakati hizi za utafutaji. Sasa spirit ya kujichua inawajaa sababu ya kukwepa misukosuko ya mahusiano maana inawagharimu sana mentally na wao wanataka amani na utulivu wa kufikiria sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina madhara kama unavyofikiria ,kibaya zaidi mtu wa punyeto anakuwa haoni sababu ya kuwa na ndoa Tena wala demu .

We piga tu unaweza kuja kujikuta mkono mmoja mkubwa mwingine mdogo
 
Kwani ni nani aliyekuthibitishia kuwa hajapata watoto au hasimamishi kwasababu alikuwa anapiga punyeto?
Acheni upumbavu kula raha wewe.
Turudi kwenye mada.
Kama unataka kuondoka katika kadhia hiyo dawa ninayo ambayo ufanisi wake ni 100% , utaiandaa mwenyewe, bidhaa yenyewe inauzwa jero tu . Inatibu kila aina ya addiction.
Je, utanilipa sh ngapi?
 
Kwani ni nani aliyekuthibitishia kuwa hajapata watoto au hasimamishi kwasababu alikuwa anapiga punyeto?
Acheni upumbavu kula raha wewe.
Turudi kwenye mada.
Kama unataka kuondoka katika kadhia hiyo dawa ninayo ambayo ufanisi wake ni 100% , utaiandaa mwenyewe, bidhaa yenyewe inauzwa jero tu . Inatibu kila aina ya addiction.
Je, utanilipa sh ngapi?
Nipo tayari kaka! Mwaga mambo
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
Mkuu ni rahisi sana. Usiku wa Leo piga kwa kutumia steel-wire, uisugue kabisa hadi ujichubue mashine itoke mikwaruzo na damu. Utakaa muda mrefu sana hujapiga, hadi uje kupona utakuwa umeshasahau hayo mamichakato..

Case Closed.
 
Punyeto isibezwe ni starehe kama starehe nyingine.....
Mitano Tena mkuu.
JamiiForums-1036541612.jpg
 
Palipo MUNGU hawezi akakaa shetani ,
Nimeteseka kwa hili tatizo toka 2011 , na kanuni niliyotumia ndo hiyo
Tumia siku nzima kusikilaza Gospel Songs na kusoma Biblia , futa kila bongofleva coz itakuvuta polepole hadi kwenye tukio

Ukweli unachokiona katika p*rn na punyeto siyo reality ya mapenzi, lile ni shetani na Baada ya tendo linakupa hofu , stress , negative thought na hamu ya kutaka kujiua

Kesha , funga , soma biblia sana, nenda youtube tafuta makanisa ya online eg: edu educhukwu - atakua role model wako wa ujana , sikiliza worship songs na praise : sanasana za Nigeria

Ukitaka ku-Fail , hili shetani la punyeto uende kupigana nalo physical . Hutoweza kushilinda eti sijui kwa kufanya mazoezi , kukakaa karibu na watu e.t.c
Hapo kwny hamu ya kutaka kujiua kuna study nyingi Sana zinaonyesha Kuna uhusiano wa wanaopiga puli na kua na mawazo ya kujiua.
 
Hakuna njia ya mkato maana uraibu wa porn na nyeto ni mojawapo ya uraibu mbaya kabisa sawa tu na sigara na unga. Itakubidi uwe na dhamira ya kweli kweli na uwe tayari kupambana.

Jiunge na group hili la telegram. Uliza maswali yote huko na utajibiwa. Kuna mbinu kadhaa wanajadili na kuna vitabu vya kisaikolojia vyenye njia za kuacha punyeto zilizothibitishwa. Kila la heri mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Mkuu ni rahisi sana. Usiku wa Leo piga kwa kutumia steel-wire, uisugue kabisa hadi ujichubue mashine itoke mikwaruzo na damu. Utakaa muda mrefu sana hujapiga, hadi uje kupona utakuwa umeshasahau hayo mamichakato..

Case Closed.
Kuna msela humu JF alisema yeye alipaka Hadi mikono pilipili ili asijichue lkn mwishowe alipiga puli hivyo hivyo na alivyomaliza ndipo akaanza kupambana na muwasho wa pilipili mbooni.
 
Kuna msela humu JF alisema yeye alipaka Hadi mikono pilipili ili asijichue lkn mwishowe alipiga puli hivyo hivyo na alivyomaliza ndipo akaanza kupambana na muwasho wa pilipili mbooni.
Huyo hadi akatwe Mikono. Sema Raha ya nyeto unajikadiria ukubwa wa tundu, ukitaka tight ni wewe, ukitaka isiyobana ni wewe, unajikadiria muda wa kumaliza, yaani bao litumie nusu saa, saa au hata masaa. Mwisho kabisa unaweza ku-imagine wanawake hata nane kwenye route moja..

Case Closed.
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
Ankali ROBERT HERIEL hii sasa ndio laana ule umasikini ulikua una usingizia tu bure mkuu

Sababu kwa nini PUNYETO ni DHAMBI KUBWA ni kwamba inaongoza kwenye uharibifu wa Mbegu ya Kuzaa: ambayo ilikuwa ni dhambi yenyewe iliyomfanya Mungu kumwangamiza Onani katika Biblia (Taz. Mwanzo 38:8-10).

Mwanzo 38:8-10

Biblia Habari Njema (BHN)

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Hukumu ya Punyeto umeiona hapo mkuu?

Epuka tu nyakati/maeneo ya upweke. Daima shirikisha akili yako kwa kusoma, kuandika, maombi ya kiakili, n.k.

Epuka kutazama ponografia, vichekesho vilivyojaa ngono, filamu, vipindi vya televisheni (km Big Brother Naija), n.k.

Epuka kujihusisha na soga au simu ambazo zinaweza kukuongoza kwenye punyeto.

Mwisho NJOO KWA YESU UOKOLEWE.
 
Weee tafuta hata wasomba mkaa mzee baba au hata watembeza nyanya wa saizi yako , wahonge misimbazi , then wakalishe chini mmoja mmoja uwape neno la mungu kuwa wee ni mwanaume unahitaji sex , kati yao huwezi kosa hata wa nne mzee , auu ka vipi nenda manzese kwa wahaya 5k tuuu unalamba k safiii tena juu ya kitanda
 
Back
Top Bottom