SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hili nalo lazima litazamwe siyo kukataa tuWee kipi bora? Nyeto au gono na ukimwi?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo lazima litazamwe siyo kukataa tuWee kipi bora? Nyeto au gono na ukimwi?
Wewe mtu, barikiwa sanaAisee jana night nimepiga bao mbili za mkono
Nipo tayari kaka! Mwaga mamboKwani ni nani aliyekuthibitishia kuwa hajapata watoto au hasimamishi kwasababu alikuwa anapiga punyeto?
Acheni upumbavu kula raha wewe.
Turudi kwenye mada.
Kama unataka kuondoka katika kadhia hiyo dawa ninayo ambayo ufanisi wake ni 100% , utaiandaa mwenyewe, bidhaa yenyewe inauzwa jero tu . Inatibu kila aina ya addiction.
Je, utanilipa sh ngapi?
Haina madhara kama unavyofikiria ,kibaya zaidi mtu wa punyeto anakuwa haoni sababu ya kuwa na ndoa Tena wala demu .
We piga tu unaweza kuja kujikuta mkono mmoja mkubwa mwingine mdogo
Mkuu ni rahisi sana. Usiku wa Leo piga kwa kutumia steel-wire, uisugue kabisa hadi ujichubue mashine itoke mikwaruzo na damu. Utakaa muda mrefu sana hujapiga, hadi uje kupona utakuwa umeshasahau hayo mamichakato..Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Mitano Tena mkuu.Punyeto isibezwe ni starehe kama starehe nyingine.....
Hapo kwny hamu ya kutaka kujiua kuna study nyingi Sana zinaonyesha Kuna uhusiano wa wanaopiga puli na kua na mawazo ya kujiua.Palipo MUNGU hawezi akakaa shetani ,
Nimeteseka kwa hili tatizo toka 2011 , na kanuni niliyotumia ndo hiyo
Tumia siku nzima kusikilaza Gospel Songs na kusoma Biblia , futa kila bongofleva coz itakuvuta polepole hadi kwenye tukio
Ukweli unachokiona katika p*rn na punyeto siyo reality ya mapenzi, lile ni shetani na Baada ya tendo linakupa hofu , stress , negative thought na hamu ya kutaka kujiua
Kesha , funga , soma biblia sana, nenda youtube tafuta makanisa ya online eg: edu educhukwu - atakua role model wako wa ujana , sikiliza worship songs na praise : sanasana za Nigeria
Ukitaka ku-Fail , hili shetani la punyeto uende kupigana nalo physical . Hutoweza kushilinda eti sijui kwa kufanya mazoezi , kukakaa karibu na watu e.t.c
Kanye west na usupastaa wake,mpunga Kama wote,mademu Ni kujichagulia tu Majuzi amekiri Porn kumharibia Maisha yake,na Kama Ni mtizamaji mzuri wa porn then pia Ni mpiga puli konki kabisa.Dawa ya punyeto ni kuwa na demu mtoa mada acha udomo zege
Kuna msela humu JF alisema yeye alipaka Hadi mikono pilipili ili asijichue lkn mwishowe alipiga puli hivyo hivyo na alivyomaliza ndipo akaanza kupambana na muwasho wa pilipili mbooni.Mkuu ni rahisi sana. Usiku wa Leo piga kwa kutumia steel-wire, uisugue kabisa hadi ujichubue mashine itoke mikwaruzo na damu. Utakaa muda mrefu sana hujapiga, hadi uje kupona utakuwa umeshasahau hayo mamichakato..
Case Closed.
Daaaah aisee we SEMA hivyo lakini Kuna watu wamezama kwenye Hilo dimbwi na mpaka Leo Wana miaka wanashindwa kutokaPunyeto isibezwe ni starehe kama starehe nyingine.....
Huyo hadi akatwe Mikono. Sema Raha ya nyeto unajikadiria ukubwa wa tundu, ukitaka tight ni wewe, ukitaka isiyobana ni wewe, unajikadiria muda wa kumaliza, yaani bao litumie nusu saa, saa au hata masaa. Mwisho kabisa unaweza ku-imagine wanawake hata nane kwenye route moja..Kuna msela humu JF alisema yeye alipaka Hadi mikono pilipili ili asijichue lkn mwishowe alipiga puli hivyo hivyo na alivyomaliza ndipo akaanza kupambana na muwasho wa pilipili mbooni.
Ankali ROBERT HERIEL hii sasa ndio laana ule umasikini ulikua una usingizia tu bure mkuuSalamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!