Inaweza kubali leo, kesho ikagoma. Inaweza kubali wiki nzima kama vile hakuna shida shida kabisa.Flash ambayo inakubali nayo kuna mda inagoma au ikikubali haina shida inapiga mda wote?
Nilinunua kwao Sony wenyewe. Made in Malaysia. Labda kuna namna zinabagua flash maana hizi flash zinazosumbua nikizichomeka kwenye subwoofer zinasoma haraka.Hapo kimoja kia shida its either flash au radio yenyewe...Sony Bongo kama hujanunua kwao wenyewe basi hesabu maumivu..nyingi ni copy. Flash nyingi pia Bongo ni feki
Lazima ni tatizo la Flash. Tumia flash ndogo isiyozidi 16GB , format flash yako katika mfumo wa FAT32 (Default). Usiweke files zingine kwenye flash kama vile windows, au programs .Habari wakuu,
Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea.
Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima.
Tatizo laweza kuwa nini wakuu?View attachment 1765940View attachment 1765942View attachment 1765947
Asante mkuu. Nitafanya hivyoLazima ni tatizo la Flash. Tumia flash ndogo isiyozidi 16GB , format flash yako katika mfumo wa FAT32 (Default). Usiweke files zingine kwenye flash kama vile windows, au programs .
Flash ikizingua Format kwanza Katika FAT32 then rudishia vitu ujaribu tena.
Hizi redio hazitaki complications
Hapo nina mashaka na FlashNilinunua kwao Sony wenyewe. Made in Malaysia. Labda kuna namna zinabagua flash maana hizi flash zinazosumbua nikizichomeka kwenye subwoofer zinasoma haraka.