Msaada: Rangi ya gari inayovumilia jua la Dar!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo.

NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza badili kwenda nyingine itakayofaa!

Natanguliza shukrani
 
Sehemu gani wanafanya car repainting kwa viwango vya juu?
Kampuni gani iko trusted kwa uuzaji wa rangi genuine baada ya C-Cans Mwenge kuchuja?
 
Swali la msingi sana hili, ngoja waje
 
Ungekuwa Arusha ningekushauri uende kwa mhindi mmoja anaitwa Sharma.Hamna mafundi wa rangi Tanzania kama hao. Wateja mpaka kutoka Kenya wanaleta magari kwake.Shida ni foleni zake ndefu.Akipiga rangi gari yako huwezi kuwa na changamoto ya rangi kupauka.
 
Shukran mkuu, kama kuna foleni hiyo ni changamoto nyingine
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo.

NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza badili kwenda nyingine itakayofaa!

Natanguliza shukrani
Kanunue rangi za Sikkens Mawere Car Paints & Accessories hutojuta. NI rangi za Wajerumani, hazipauki. Ila bei yake inaendana na ubora wa rangi zenyewe
 
Back
Top Bottom