🙏Swali la msingi sana hili, ngoja waje
Nami nasubiri jibuSwali la msingi sana hili, ngoja waje
Ungekuwa Arusha ningekushauri uende kwa mhindi mmoja anaitwa Sharma.Hamna mafundi wa rangi Tanzania kama hao. Wateja mpaka kutoka Kenya wanaleta magari kwake.Shida ni foleni zake ndefu.Akipiga rangi gari yako huwezi kuwa na changamoto ya rangi kupauka.
Foleni ni at least mwezi kama utakuwa na bahati.Shukran mkuu, kama kuna foleni hiyo ni changamoto nyingine
Kanunue rangi za Sikkens Mawere Car Paints & Accessories hutojuta. NI rangi za Wajerumani, hazipauki. Ila bei yake inaendana na ubora wa rangi zenyeweWakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo.
NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza badili kwenda nyingine itakayofaa!
Natanguliza shukrani
Mwenge. Unaweza ku Google Sikkens Mawere Car Paints & Accessories. Kupata location na nambari zao za simuZinapatikana wapi mkuu!