Msaada redmi note 8 pro china version

Muwy

Member
Joined
May 9, 2020
Posts
39
Reaction score
36
Habar wadau,
Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version
Bei yake 450,000
Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania?
Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio
Ushauri wadau.


 
Bei kubwa inaendana na note 9s yenye uwezo mkubwa kuliko hii ulioposti.
 
Band zinashika ila China version haiji na playstore wala Google Play Services
 
Sema note 8 pro na note 8 ya kawaida hazitofautiani sana. Mm nilimnunulia sister wangu Note 8 hapa hapa bongo kwa 425,000.

Kumbuka ukiagiza Aliexpress upigie mahesabu na kodi. TRA sshv hawana mchezo kabisa. Lazima wakupiga 17% ya hyo simu.

Kma unataka kuagiza Aliexpress ni bora uchukua Note 9s kma ndugu hapo juu alivyosema. Ni simu bora zaidi
 
Habar wadau,
Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version
Bei yake 450,000
Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania?
Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio
Ushauri wadau.
Natumia note 8 pro chinese version inapiga mzigo mpaka inaboa. Kazi kwako tu mkuu. Sema kuna apps nyingi ambazo ni inbuilt za kichina lakini kwangu sio tatizo maana tangu nimeinunua sijawahi kuzifungua hizo apps. Pia Playstore sio inbuilt software hivyo unai-install manually amabyo ni easy sana ndani ya sekunde tu.
 
4g ya tigo inakama uzur na Airtel?
 
Note 9s ni ndgo kwa note 8mzee pro zinaenda pro series nyenzake
Note 8 Pro inaizidi Note 9s kwenye camera. 64MP kwenye note 8 Pro vs 48MP kwenye 9s. Lakini hata hapo bado note 9s inachukua picha nzuri kuliko note 8 pro.

Kwenye CPU ziko sawa kiaina ila Note 9s ina snapdragon 720G ambayo inakua na network reception nzuri na pia inakuwezesha kuinstall Gcam ambayo inaongeza sana quality ya picha (kma Google Pixel)

Pia Note 9s itapata android 11 na 12 wakati note 8 Pro itaishia android 11

Note 9s pia ni nzuri kimuonekano kuliko note 8 Pro
 
Note 9s ni ndgo kwa note 8mzee pro zinaenda pro series nyenzake
Note 8 pro inatumia SoC ya mediateck ya Mediatek Helio G90T ambayo ni 12nm wakati note 9s inatumia snapdragon 720g ambayo ni 8nm.

Ukilinganisha uwezo wa g90T na sd 720g, sd inaizidi hiyo mediatek chip kwenye nyanja karibu zote.
Antuntu, geekbench zinaipa points nying redmi note 9s kuliko note 8 pro.

Body ya note 9s ina uwezo wa kuzuia mvua za rasha rasha, (splash water resistance), hii kitu haipo kwenye note 8 pro.

Ukaaji wa chaja note 9s inaweza kutunza chaja kwa masaa 127 wakati note 8 pro ni masaa 114.

Kitu kinachoizidi note 8 pro ni kuwa na camera sensor kubwa, lakini xiaomi camera test za gsm zinaonyesha kuwa ukipiga picha inajisevu picha ya 12mp, na ukiseti pixel za juu camera za xiaomi hazitoi picha nzuri.
 
Wapi nitapata note 9s mpya kwa laki 5?
 
4g ya tigo inakama uzur na Airtel?
Zote zinakamata kwa fujo. Yaani kwa ufupi hakuna tatizo kabisa isipokuwa hizo apps za kichina huenda zikawa kero kwako maana sometimes zina-pop up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…