Msaada: research title and literature review.

Msaada: research title and literature review.

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
habari wadau.....
Ninaandaa pendekezo/muswada wa utafiti (research proposal) wenye kichwa kisemacho "NEGATIVE EMOTIONS ON CREATIVE THINKING AND ITS IMPACT IN SCHOOL LEARNING OF YOUNG CHILDREN"
1.Naomba kwa yeyote aneyeweza kunisaidia tafiti mbalimbali za hapa nchini zinazohusiana na hiyo mada niweze kurejea
2.Wataalam wa utafiti mnaweza kunisaidia kuhariri hii mada endapo inaonekana kuwa "too general or vague"
 
Una maana gani unaposema 'negative emotions' na creative emotions? Ni jinsi gani utaweza kutathmini hizo negative emotions? Utatumia vigezo vipi kutambua negative emotions na kuweza kufanyia tathmini? hayo ni masawli ya muhimu ya kujiuliza kwanza.
 
Una maana gani unaposema 'negative emotions' na creative emotions? Ni jinsi gani utaweza kutathmini hizo negative emotions? Utatumia vigezo vipi kutambua negative emotions na kuweza kufanyia tathmini?
ninaposema negative emotions namaanisha mwitikio hasi wa kichocheo au kichokoo yaani "individuals' negative reactions to stimuli" aibu, hasira, huzuni na vitu vyenye kufanana na haya.
cha pili ni 'creative thinking' na sio 'creative emotions' yaani thinking between the lines, Discourse analysis towards circumstances, a sort of cognitive operation that makes an individual to come with a new idea...... in other words tunaweza kuiita 'divergent thinking'

facial expression inaweza kutumika ktk kutathmini negative emotions, type of answers pia..., kikubwa nlichokiangalia hapo ni 'JE MTOTO ANAWEZA KUJIFUNZA AKIWA NA MWITIKIO HASI WA MAZINGIRA AU HALI AU MUONEKANO WA MWALIMU????' LAKINI KUJIFUNZA KUNAKWENDA SAWIA NA KUFIKIRI KWA KINA YAANI CREATIVE THINKING ndipo nikapata wazo kua pengine kuna uhusiano kati ya "negative emotions, creative thinking na school learning"
 
Back
Top Bottom