Msaada: Rough estimate ya ujenzi

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
41,878
Reaction score
81,593
Habari zenu wataalam. Je hii rough estimate ya cost ya ujenzi kuwa sqm ni laki tano ni kweli au wanataka kuniigiza chaka?
 
Hawakuingiz chaka ni hesabu halisi ukitaka kujua cost ya nyumba yako unachukua Sqm za nyumba Una mutiplie na laki tano ndo pesa unayotakiwa uwe nayo kukamilisha ujenzi
Habari zenu wataalam. Je hii rough estimate ya cost ya ujenzi kuwa sqm ni laki tano ni kweli au wanataka kuniigiza chaka?
 
Hapana kinategemea aina ya nyumba na material utakao tumia
Nyumba zetu hizi standard bwana wewe, aluminium, tiles za good one i mean.
Obviously finishing inategemea mwenye maana kuna vyoo vya laki nne na vyoo vya million tatu
 
Wanadai ni gharama za kila kitu, ila hizo gharama huwa si halisia, ukiwapa unapigwa, ukijenga mwenyewe unaokoa mengi
Ah hawa mafundi wakibongo ni kukaa nao benet hela yenyewe hii tunaipata kwa tabu sana
 
Ila hii 500k mbona kama ipo juu maana yake kamjengo ka 8 by 7 ni million 23😲
 
800,000-1,200,000 per Sq.m inategemea na finishing utakayoifanya, hii wanatumia sana wakandarasi.
 
Kamjengo ka nane kwa saba unapata vyumba vingapi 🤔
 
Nimemuuliza bing, kajibu hivi👇🏾


Namuami bing. Hiyo ni mwanzo mpaka mwisho, ,bila longolongo za Kitanzania. Kama Shillingi 4,000,000 za Tanzania kwa square meter moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…