Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wataalam. Je hii rough estimate ya cost ya ujenzi kuwa sqm ni laki tano ni kweli au wanataka kuniigiza chaka?
Hapana kinategemea aina ya nyumba na material utakao tumiaHabari zenu wataalam. Je hii rough estimate ya cost ya ujenzi kuwa sqm ni laki tano ni kweli au wanataka kuniigiza chaka?
Nyumba zetu hizi standard bwana wewe, aluminium, tiles za good one i mean.Hapana kinategemea aina ya nyumba na material utakao tumia
Ah hawa mafundi wakibongo ni kukaa nao benet hela yenyewe hii tunaipata kwa tabu sanaWanadai ni gharama za kila kitu, ila hizo gharama huwa si halisia, ukiwapa unapigwa, ukijenga mwenyewe unaokoa mengi
Kuna mafundi wazuri ila lazima uwepo, vinginevyo wape hao wakandarasi mlipane kwa SQMAh hawa mafundi wakibongo ni kukaa nao benet hela yenyewe hii tunaipata kwa tabu sana
Mkandarasi tena kwa nyumba ya servant kota mzeya😲 hapo nakaa mwenyeweKuna mafundi wazuri ila lazima uwepo, vinginevyo wape hao wakandarasi mlipane kwa SQM
Mkandarasi ni kwa majengo makubwa napo huko wengi hununua mihuri tu na kuweka mafundi waoMkandarasi tena kwa nyumba ya servant kota mzeya[emoji44] hapo nakaa mwenyewe
2Kamjengo ka nane kwa saba unapata vyumba vingapi 🤔
Hilo ghorofa ama?800,000-1,200,000 per Sq.m inategemea na finishing utakayoifanya, hii wanatumia sana wakandarasi.