mimi nmesimamia mwenywe yangu coz am civil eng in professional sqm imekula laki 6 but hapo nmetumia material ya kisasa kabisa kuanzia ratio ya cement n kubwa,kila kitu kinachohitajika kitaalamu na material nlikiwa nanunua mwenyewe fundi anapewa hela ya ufundi