Msaada: Rough estimate ya ujenzi

Msaada: Rough estimate ya ujenzi

mimi nmesimamia mwenywe yangu coz am civil eng in professional sqm imekula laki 6 but hapo nmetumia material ya kisasa kabisa kuanzia ratio ya cement n kubwa,kila kitu kinachohitajika kitaalamu na material nlikiwa nanunua mwenyewe fundi anapewa hela ya ufundi
 
nGoja nije nikaokote maokoto mbele nikutafute usimamie mjengo wa ndoto yangu
 
Back
Top Bottom