hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi dr akataka niwekewe drip Ipande ila nikamwambia hapana cs kitendo cha kuniweka drip ntahis ndo hvyo tatizo lishashindikana nasubir kifo....nimeshauriwa kunywa kahawa n soda ya fanta pia kumix na chumvi ila hainisaidii nahsi.tatizo ni kichwa kinaniuma sana hadi nakosa raha pia kuchoka mwili na sasa kichwa kikiuma sana na macho pia yanauma..naombeni mweny kujua dawa au ushauri wowote nifanye nataka tatizo liishe.