Msaada :rpesha ndogo ya ajabu

Msaada :rpesha ndogo ya ajabu

ICHANA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
4,766
Reaction score
3,595
hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi dr akataka niwekewe drip Ipande ila nikamwambia hapana cs kitendo cha kuniweka drip ntahis ndo hvyo tatizo lishashindikana nasubir kifo....nimeshauriwa kunywa kahawa n soda ya fanta pia kumix na chumvi ila hainisaidii nahsi.tatizo ni kichwa kinaniuma sana hadi nakosa raha pia kuchoka mwili na sasa kichwa kikiuma sana na macho pia yanauma..naombeni mweny kujua dawa au ushauri wowote nifanye nataka tatizo liishe.
 
Pole sana, nashauri kama ungepata check up nzuri ingekusaidia. Kama uko dar kuna clinic naiamini inaitwa HAEMEDA iko jirani na muhimbili. Ila ujipange kidogo mfukoni usiende kama unaenda kwenye hospitali za Jakaya.
 
hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi dr akataka niwekewe drip Ipande ila nikamwambia hapana cs kitendo cha kuniweka drip ntahis ndo hvyo tatizo lishashindikana nasubir kifo....nimeshauriwa kunywa kahawa n soda ya fanta pia kumix na chumvi ila hainisaidii nahsi.tatizo ni kichwa kinaniuma sana hadi nakosa raha pia kuchoka mwili na sasa kichwa kikiuma sana na macho pia yanauma..naombeni mweny kujua dawa au ushauri wowote nifanye nataka tatizo liishe.

Iyo drip ingekusaidia. Mie ilikua inanitokea inashuka kama ivo. Nikiwekewa drip inapanda.

Kahawa usipendelee sana, ila soda au madafu na chumvi inasaidia.

Pia jiepushe na stress kwani zinachangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa pressure kwa mwenye low bp.

Icho kichwa hakitotulia, rudi hosp ukapate matibabu zaidi. Low bp si nzuri ata kidogo.

Pole sana, shafakaAllah
 
Oooh pole sana mpendwa nenda hospital kafanye vipimo zaidi ufanye na vipomo vya moyo pia ila pia usisahau kumuomba sana Mungu yeye ndiye muweza wa yote
 
Back
Top Bottom