profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Kama inakuwa hivyo engine ikiwa ya baridi ni sahihi.Mafundi na wazoefu naomba ushauri.
Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta napunguza mwendo,nikimaliza na kukanyaga mafuta kidogo tu inapanda mpaka 2000,baadae inashuka.
Naweza kuwa kwenye speed ya 40km/h,na rpm ipo 1800.engine ni 1NZ,1500CC,..na vimeshawahi funguliwa pamoja na gear box yake.
Weka plug mpya safisha trote body pia angalia oxygen sensorMafundi na wazoefu naomba ushauri.
Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta napunguza mwendo,nikimaliza na kukanyaga mafuta kidogo tu inapanda mpaka 2000,baadae inashuka.
Naweza kuwa kwenye speed ya 40km/h,na rpm ipo 1800.engine ni 1NZ,1500CC,..na vimeshawahi funguliwa pamoja na gear box yake.
sijajua mkuu,ilikuwa ikimilikiwa na jamaa yangu...Kama inakuwa hivyo engine ikiwa ya baridi ni sahihi.
Ila kinyume cha hapo basi kuna tatizo kwenye engine.
Swali la kizushi, engine na gearbox vilishafunguliwa kulikuwa na shida gani?
asante mkuuWeka plug mpya safisha trote body pia angalia oxygen sensor
shida gani labda boss kubwa,msaada tafadhali..Mfumo WA engine kuna shida hapo
mimi nimekuta engine inapiga kelele sana,nimebadilisha bearing ya altenator na ya compressor,pia plate diode za alternator,maana alternator ilikuwa ina heat sana ndani ya muda mfupi,nikadharau,nimeendesha kama km 7,sign ya battery ikawaka kwenye dashboard,nikapark pembeni,kuwasha tena ikakataa kabisa...Kama inakuwa hivyo engine ikiwa ya baridi ni sahihi.
Ila kinyume cha hapo basi kuna tatizo kwenye engine.
Swali la kizushi, engine na gearbox vilishafunguliwa kulikuwa na shida gani?
haiwaki mkuu..ingewaka shida ingekuwa nini mkuu?Taa ya check engine?
Huwezi kubashiri Check engine.haiwaki mkuu..ingewaka shida ingekuwa nini mkuu?