profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Mafundi na wazoefu naomba ushauri.
Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta napunguza mwendo,nikimaliza na kukanyaga mafuta kidogo tu inapanda mpaka 2000,baadae inashuka.
Naweza kuwa kwenye speed ya 40km/h,na rpm ipo 1800.engine ni 1NZ,1500CC,..na vimeshawahi funguliwa pamoja na gear box yake.