Msaada: Sababu ya kupungua uzito

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Habarini wanajukwaa
Naomba mnijuze sababu mbali mbali zinazosababisha kupungua uzito wa mwili
Asanteni
 
Unataka kupungua uzito au umepungua uzito bila kutarajia hivyo unauliza kufahamu sababu za uzito kupungua na uweze pata njia ya kurejesha afya yako kwa kuongeza uzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kwanza; ingekuwa vyema kama ungeenda hospitali ili kubaini kama kuna shida katika mwili wako.

Pili; angalia mlo wako kama haujabadilika huenda unakula chakula kidogo hakiendani na mahitaki ya mwili wako au unafanya kazi ngumu na mwili unatumia nguvu(energy) nyingi ili kuweza kuzimudu halafu wewe hutumii vyakula vinavyoleta nguvu mwilini kama wanga na vyakula vyenye mafuta.

Kula mlo kamili pia zingatia vyakula vya kuleta nguvu mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…