Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Habarini wanajukwaa
Naomba mnijuze sababu mbali mbali zinazosababisha kupungua uzito wa mwili
Asanteni
Naomba mnijuze sababu mbali mbali zinazosababisha kupungua uzito wa mwili
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap mkuu uzito wangu umepungua sana,siumwi ila umepunguaUnataka kupungua uzito au umepungua uzito bila kutarajia hivyo unauliza kufahamu sababu za uzito kupungua na uweze pata njia ya kurejesha afya yako kwa kuongeza uzito?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepungua bila kutarajia
Nimepungua bila kutarajia
Punfuza mawazo, kula chakula cha kutosha na kwa muda sahihi.Nimepungua bila kutarajia
Fafanua bwana...Stress
Chakula
Mazoezi
Subiri baadae nikiamka baby..naenda kulala aseeFafanua bwana...
Ulale unonoSubiri baadae nikiamka baby..naenda kulala asee
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
thanks..miss you...kama na wewe utalala sleep well dear..byeUlale unono