Aaaah safi sana kama ni za israel nitazinunua aisee maana zina uzayuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Zinatengenezwa na kiwanda cha wa Israel hizo ni nzuri sana
Muogope aliyekuumba hizi zinatengenezwa BURUNDI na neno shaza ni kirundi ,kiha , kihangaza n.k likiwa na maana ya PENDEZA sasa uisrael hapa sijui imetoka wapiZinatengenezwa na kiwanda cha wa Israel hizo ni nzuri sana