Msaada: Sabuni za shaza je, zinafaa?

Msaada: Sabuni za shaza je, zinafaa?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Wapendwa

Leo nimeingia hili jukwaa
Huwa napenda kuuliza jambo kabla sijafanya utekelezaji

Waswahili walisema kuuliza si ujinga mimi hizi sabuni niliona zikipigiwa promo na jamaa mmoja wanasema zinatoa madoa jee ni kweli?

Mlowahi kutumia nambieni ni kweli?Zinasaidia nini haswa?
 
Zinatengenezwa na kiwanda cha wa Israel hizo ni nzuri sana
Aaaah safi sana kama ni za israel nitazinunua aisee maana zina uzayuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
kimsboy,
IMG_1362.JPG

habari,
jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.
nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
 
Zinatengenezwa na kiwanda cha wa Israel hizo ni nzuri sana
Muogope aliyekuumba hizi zinatengenezwa BURUNDI na neno shaza ni kirundi ,kiha , kihangaza n.k likiwa na maana ya PENDEZA sasa uisrael hapa sijui imetoka wapi
 
Back
Top Bottom