Msaada: Safari yangu kutoka Kahama kwenda Dar

Ushauri wa bure.
Ukishateremka kwenye Basi pale Mbezi mwisho, utachangamkiwa na warembo wengi Sana ukitilia maanani kwamba unalafudhi ya kisukuma. Wengine watakupa makatibu na mitako Yao ya Mloganzila . Jiepushe na hao warembo. Infact Rudi kwenu na nyege zako.
Wasukuma wenzio wameumizwa Sana, sio kuporwa pesa tu Ila na kubebeshwa gonorea sugu.
 
Ila mashemeji zangu wasukuma sometimes mnatia aibu ujawah kufka dar hata gar za geita dar uzjui? Nakushaur kulko ufate mzgo dar n Bora uchukulie katoro mana Bei utakayopgwa apo kariakoo na ugen wako hutaona faida hata kdogo n Bora uje uende dar kutembea na s kuhemea mzgo ukshakua mwenyej kdogo ndio uanze kwenda kuhemea lasivyo utapoteza Kila ktu kwanzia mtaj wako mpaka simu
Kwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupi
 
"ufikapo ndani ya Bongo usifumbe machooo...."

Haka kalikuwa mojawapo ya kamstari kwenye chorus ya ile muvi ya BONGO DAR ES SALAAM iliyobamba miaka ya late 2000(around 2008 - 2010).

Kama uliwahi kuiona hiyo muvi, sina haja ya kukuhadithia sana.

EPUKA VISHOKA TAFUTA MTU MWAMINIFU (hii ndio kazi kubwa kuliko hiyo kazi ya kutoka Kahama hadi Dar)
 
We ni ke au me, kama ni me nitakukaribisha haoa ghetto tubanane banane, chana unafanya mambo yako usiku unakuja angusha ghetto.
Ila kama ni KE itakuwa ngumu kidogo, ghetto moja nitashindwa kukuoa hifadhi na hizi mvua za dar, nisije nikapata kesi nikaishia segerea. 😂🤣
 
Panda Frester wako vzuri hata kwenye kusafrsha mizigo,Kama mzigo wako utakua mkubwa Sana ...utatakiwa utumie cargo kusafirisha ili gharama za usafr ziwe nafuu,ukisafirsha kwa bus gharama zitakua juu
 
Huo ndo ushauri nnaoutaka sasa
 
Bro karibu dar,mi Niko kkoo mtaa wa Aggrey na Ndanda. Ninauza machine za bakery na vifaa mbalimbali. Ukihitaji msaada wowote wa kkoo nitakusaidia au nitakuunganisha na watu watakaokusaidia Ili kupata uenyeji. Karibu sana.
Mashine za umeme au mkaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…