Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kwanini mzee, unadhani akitokea mbezi aelekee wapi kwa usiku huo eenhUsimsikilize huyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mzee, unadhani akitokea mbezi aelekee wapi kwa usiku huo eenhUsimsikilize huyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Oyaa kuna hoteli mzee acheni kumpotosha bwana mgeniKuna danguro.
Kwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupi
"ufikapo ndani ya Bongo usifumbe machooo...."Hamjambo Waungwana,
Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo kariakoo wa nguo za spesho
Lengo la bandiko
Naomba mnisaidie usafiri wa kutoka kahama basi lenye huduma nzuri,
Nikifika dar sina mwenyeji kipi cha kuzingatia Kutokana na huu ugeni wangu ndani ya jiji kubwa la daresalaam.
Exalioth yuda
Jamiiforums
Geita
Panda Frester wako vzuri hata kwenye kusafrsha mizigo,Kama mzigo wako utakua mkubwa Sana ...utatakiwa utumie cargo kusafirisha ili gharama za usafr ziwe nafuu,ukisafirsha kwa bus gharama zitakua juuHamjambo Waungwana,
Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo kariakoo wa nguo za spesho
Lengo la bandiko
Naomba mnisaidie usafiri wa kutoka kahama basi lenye huduma nzuri,
Nikifika dar sina mwenyeji kipi cha kuzingatia Kutokana na huu ugeni wangu ndani ya jiji kubwa la daresalaam.
Exalioth yuda
Jamiiforums
Geita
Huo ndo ushauri nnaoutaka sasaUshauri wa bure.
Ukishateremka kwenye Basi pale Mbezi mwisho, utachangamkiwa na warembo wengi Sana ukitilia maanani kwamba unalafudhi ya kisukuma. Wengine watakupa makatibu na mitako Yao ya Mloganzila . Jiepushe na hao warembo. Infact Rudi kwenu na nyege zako.
Wasukuma wenzio wameumizwa Sana, sio kuporwa pesa tu Ila na kubebeshwa gonorea sugu.
Mashine za umeme au mkaa?Bro karibu dar,mi Niko kkoo mtaa wa Aggrey na Ndanda. Ninauza machine za bakery na vifaa mbalimbali. Ukihitaji msaada wowote wa kkoo nitakusaidia au nitakuunganisha na watu watakaokusaidia Ili kupata uenyeji. Karibu sana.
Alikupa ukamwendesha?Kapandie tinde mzee pale una options nyingi za gari za mwanza, kahama, shinyanga zinazoenda dar, niliwahi kuotea TX moja ya mumama, tena akajua ni dereva kwahiyo nilienda dar free of charge
Safari njema