Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Jul 20, 2021 #1 Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Jul 20, 2021 #2 Itakua imewkwa Mara nyingi kimakosa imejilock. Bado tatizo linaendelea? Haujaletewa option ya kuweka email?
Itakua imewkwa Mara nyingi kimakosa imejilock. Bado tatizo linaendelea? Haujaletewa option ya kuweka email?
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Jul 20, 2021 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Itakua imewkwa Mara nyingi kimakosa imejilock. Bado tatizo linaendelea? Haujaletewa option ya kuweka email? Click to expand... Sijaletewa opt yoyote. Nasubiri mpaka izime charge kabisa maana haizimi. Afu nicheck nini kitatokea. Ahsante kwa kuja
Chief-Mkwawa said: Itakua imewkwa Mara nyingi kimakosa imejilock. Bado tatizo linaendelea? Haujaletewa option ya kuweka email? Click to expand... Sijaletewa opt yoyote. Nasubiri mpaka izime charge kabisa maana haizimi. Afu nicheck nini kitatokea. Ahsante kwa kuja