Msaada: Samsung A50 inajirestart

Msaada: Samsung A50 inajirestart

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
 
Factory reset hiyo simu
may be it's just a bug in your phone, Kama tatizo litaendelea baada ya Ku factory reset basi akina Chief Mkwawa wanaweza kukusaidia kitaalamu zaidi. Jaribu ku factory reset ingawa itafuta kila kitu kwenye simu
Sawa mkuu. Nashukuru
 
Fuata huo mtitiriko kuringana na namba mwishoni pale pakiwa ON weka OFF
26%20June%202023%20125947%20GMT%2B0300.jpg
26%20June%202023%20130043%20GMT%2B0300.jpg
26%20June%202023%20130125%20GMT%2B0300.jpg
26%20June%202023%20130228%20GMT%2B0300.jpg
 
Ingekuwa techo au infinix leo kazi ingekuwepo. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom