Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
 
Nina Samsung galax A3 toka 2016 mpaka leo ngoma mdundo
Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Simu bora za samsung ni S series
Kuanzia S5 na kuendelea
Angalia budget yako lakini average ukilinganisha na bei pamoja na matoleo mapya samsung S9 iko vizuri almost laki nane dukani refurbished
 
Back
Top Bottom