Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii simu nahisi haipo tena madukani
kush and Wisdom
Wanangu wa A town inakuaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii simu nahisi haipo tena madukani
kush and Wisdom
Uko sahihiHii simu s5 shida yake ni chaji ila overall perfomance ni nzuri mno japo na 2GB ya RAM. Nimeitumia hii simu kwa muda mrefu, ni nzuri saana japo haikuwepo promo kama S4. Naweza nikasema features nyingi za samsung zimeanzia kwa S5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tofauti na vile mtumiaji wa samsung mfano s series alivyozoea sim za samsung zinavyokua
Kwa mtu asiye na mambo mengi ni nzuri, heri A10s kwa bajeti yake kuliko Tecno.Ila wataalamu wanasena A10s ni kimeo sana
kush and Wisdom
A10s unataka uiringanishe na Tecno ipi kwa budget hiyo hiyo?Wanasema A10s ni kimeo
kush and Wisdom
Mkuu ile simu ni kali. Mpaka kufikia S7 sidhani kama kulikuwa na mabadiliko makubwa mbali na S5.Uko sahihi
ubora wa s series ulianzia s5
hata tecno za sasa huwezi kufananisha na S5 features, performance na reliability
Tatizo la chaji kwenye s5 lilitokea baada ya OTA update kutoka pia screen zikawa zinaflicker mwanga wa kijani kama sikosei,naskia issue ilikua makusudi kuwalazimisha watu waamie models za juu
Lakini kuna namna ya kufix hizo bugs zao
Unakuta mtu anatoa lak 4 ananunua litecno, wakati samsung yenye features kama hiyo ipo, tena kwa 280,000.Ni tofauti na vile mtumiaji wa samsung mfano s series alivyozoea sim za samsung zinavyokua
Iyo a10s inashindana na soko la mchina(tecno,infinix n.k) sababu uko ndo kuna wateja wengi
processor ni mtk,kioo ni ips na futures zingine zikiwa kwenye level ya mchina
Kinachoibeba ni brand name (samsung) na ubora unaweza ukawa juu kuliko mchina kama tecno
Ni kama kwenye magari,scania ni brand kubwa ya trucks lakini kwa sasa licha ya kuendelea kuaminika kwa kutengeneza trucks bora pia kaanza kushindana na soko la mchina kama howo kwa kuingiza trucks za bei nafuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa mkuu,tukichukua samsung a20s na tecno camon 12 mbona bado samsung inaonekana vizuri zaidi???Tatizo wengi hawajui nini cha ku consider wakati wa kununua tofaut na urembo,umbo na design
Hapa ndipo mchina anawapata wengi ndio maana anakuja na bidhaa nzuri machoni lakini zikiwa na worst performance lakini watu bado wanakimbilia uko
Broke and greedy moves only lead to disasters!Shida ya Samsung Tanzania ni kuwa na marketing mbovu kinoma yani kama upo nje ya DSM ni rahisi sana kupata refurb
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi??Naomba mwenye mawasiliano ya duka linalouza Samsung og zenye warranty
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ambao nimeona wanazi sumsung A20s wanazikubali sana hata betri yake wansema ni nzuri pia.Matata sana hii simu,imekamilika kila kona,labda unaweza usielewe ninachikiongea kama sio mtundu...