Hii bei yake ataiweza kweli?
hajasema anataka simu nzuri ya shilingi ngapi ndio tatizo.Hii bei yake ataiweza kweli?
Unapata kiwanja kbs kwa sumsung s20 ultra
Sent using Jamii Forums mobile app
Da jamaa umetuwakilisha vizuri wenye A10A10 ndiyo simu hiyo A10s na li mtk lake takataka
Matata sana hii simu,imekamilika kila kona,labda unaweza usielewe ninachikiongea kama sio mtundu...
Embu tuelekeze mautundu BossMatata sana hii simu,imekamilika kila kona,labda unaweza usielewe ninachikiongea kama sio mtundu...
Unakuta mtu ananunua tecno laki 3 mpaka 4. Anaacha simu kama Samsung A10s, A20 n.kUliza na bei zake pia
Tecno ni simu nzuri tu kwa watu wa hali ya kawaida
Hii simu s5 shida yake ni chaji ila overall perfomance ni nzuri mno japo na 2GB ya RAM. Nimeitumia hii simu kwa muda mrefu, ni nzuri saana japo haikuwepo promo kama S4. Naweza nikasema features nyingi za samsung zimeanzia kwa S5.Simu bora za samsung ni S series
Kuanzia S5 na kuendelea
Angalia budget yako lakini average ukilinganisha na bei pamoja na matoleo mapya samsung S9 iko vizuri almost laki nane dukani refurbished
Ila wataalamu wanasena A10s ni kimeo sana
Mnajipa moyoDah
Da jamaa umetuwakilisha vizuri wenye A10
Hii simu nahisi haipo tena madukaniJ1 ace
Wanangu wa A town inakuaje??
Wanasema A10s ni kimeoUnakuta mtu ananunua tecno laki 3 mpaka 4. Anaacha simu kama Samsung A10s, A20 n.k
Sent using Jamii Forums mobile app