Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

Uko sahihi
ubora wa s series ulianzia s5
hata tecno za sasa huwezi kufananisha na S5 features, performance na reliability
Tatizo la chaji kwenye s5 lilitokea baada ya OTA update kutoka pia screen zikawa zinaflicker mwanga wa kijani kama sikosei,naskia issue ilikua makusudi kuwalazimisha watu waamie models za juu
Lakini kuna namna ya kufix hizo bugs zao
 
Ukawaida wake ni nini mkuu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tofauti na vile mtumiaji wa samsung mfano s series alivyozoea sim za samsung zinavyokua
Iyo a10s inashindana na soko la mchina(tecno,infinix n.k) sababu uko ndo kuna wateja wengi
processor ni mtk,kioo ni ips na futures zingine zikiwa kwenye level ya mchina
Kinachoibeba ni brand name (samsung) na ubora unaweza ukawa juu kuliko mchina kama tecno

Ni kama kwenye magari,scania ni brand kubwa ya trucks lakini kwa sasa licha ya kuendelea kuaminika kwa kutengeneza trucks bora pia kaanza kushindana na soko la mchina kama howo kwa kuingiza trucks za bei nafuu
 
Note kwanzia 8 9 na 10 unainjoy mpak unasema mama nakufa in Piere voice
 
Mkuu ile simu ni kali. Mpaka kufikia S7 sidhani kama kulikuwa na mabadiliko makubwa mbali na S5.

Kwenye Tecno watakupinga ila ni ukweli, hakuna tecno wala infinix ya kufika kwa S5, ile Camera yake na speed ya simu vimesimama. Ukija Display ni moto wa kuotea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtu anatoa lak 4 ananunua litecno, wakati samsung yenye features kama hiyo ipo, tena kwa 280,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya Samsung Tanzania ni kuwa na marketing mbovu kinoma yani kama upo nje ya DSM ni rahisi sana kupata refurb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wengi hawajui nini cha ku consider wakati wa kununua tofaut na urembo,umbo na design
Hapa ndipo mchina anawapata wengi ndio maana anakuja na bidhaa nzuri machoni lakini zikiwa na worst performance lakini watu bado wanakimbilia uko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa mkuu,tukichukua samsung a20s na tecno camon 12 mbona bado samsung inaonekana vizuri zaidi???


hawa ni vilaza tu wala hawana sababu za msingi kusakafia upuuzi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina sumsang galaxy A70 anaeiitaji anipe 600k iko vzr Niko mbeya chunya
 
Msaada je Samsung A20s ikoje????????????????????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…