Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kwa kua umeshasema hunywi tena bia sitakushauri...wenzio tuna miaka 45 kwenye kilaji na ndo kwanza sauti zinazidi kuwa nyororoooo kama za watoto wachanga!
Pole,sauti itarudi tu yenyewe taratibu usifanye papara,kunywa maji ya moto uchanganye asali na limau!
ukome....!!!
mkuu sema tu ukweli kuwa una hisa zako pale tbl kwahiyo unaogopa wateja watapunguwa na gawio lako litapunguwa pia!
Yanga wamekunywa Kilimanjaro za Milioni 98, na wanapeta tu... Pole sana...lamba maji mengi, sauti itarejea...
Dalili mojawapo ya kansa ya koo ni kubadilika sauti kwa nzito..
Unajua uzuri wa hisa ni kwamba mwenye nyingi hatakubali biashara iendeshwe kwa hasara so the more kiwanda kinacheua ndivyo na gawio linaongezeka...
Huyu jamaa asisingizie bia,juzi kati kaja binti mmoja hapa na kummiminia sifa kibao,kisha akatoweka jamvini for a while,tutaamini vipi kama sauti haikukaukia kwenye huba huko? Money Stunna hebu funguka vizuri tujue kiini cha tatizo ili upate apropriate tiba...
Baby...mhhh,
sasa wewe mpaka umri huo ulikua hujawahi kunywa alcohol,nakujichanganya kote huko?.uzito umepotea ila imebaki kuwa mbaya siyo kawaida kama siku zote na sikuwai kuwa hivo ni hiyo bia moja imefanya hivo
Tena mtuhumiwa mwenyewe huyu hapa