Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
juzi usiku nilikunywa bia moja kwa mara ya kwanza
mimi uwa sinywi bia.
nikaamka kichwa kinauma na kizito nikaambiwa ninywe supu ikawa angalau kidogo. kichwa kilivyozidi nikanywa dawa ya maumivu.
kichwa kikapona sauti ikakauka nikanywa chai ya tangawizi.
sasa hivi sauti imekuwa nzito na mbaya msaada plz.
sirudii tena kuonja bia. pia najishauri ninywe maji baridi au moto