Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #21
sasa wewe mpaka umri huo ulikua hujawahi kunywa alcohol,nakujichanganya kote huko?.
Anyway hayo makitu achana nayo yashakukataa.
hahahhaha,
Money Stunna my dear poleh sana jamani,achana na mabia hayo,vinjwaji vya kistaarabu kama wine ndo vitakufaa
Pole,sauti itarudi tu yenyewe taratibu usifanye papara,kunywa maji ya moto uchanganye asali na limau!
ukome....!!!
Karibu,I am glad my advice could be of help to you Money Stunna!Have a nice day!Asante nimepona kabisa nimefanya kama ulivyoniambia yani ata nashangaa nimepona mapema hali ilikuwa mbaya sasa naweza ata kupiga ndulu.
shukrani weweeeeeeeeeeeeeeeee nimefurahi sana yani nilikuwa nashindwa ata kuongea na simu vizuri.
Karibu,I am glad my advice could be of help to you Money Stunna!Have a nice day!
Sauti ya temboKwa kua umeshasema hunywi tena bia sitakushauri...wenzio tuna miaka 45 kwenye kilaji na ndo kwanza sauti zinazidi kuwa nyororoooo kama za watoto wachanga!