Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
sasa wewe mpaka umri huo ulikua hujawahi kunywa alcohol,nakujichanganya kote huko?.
Anyway hayo makitu achana nayo yashakukataa.
uwa nakunywa wine tu. bia nimekunywa kwa mara ya kwanza juzi