BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua
Sikuimba wala sikupayuka
Msaada tiba wakuu
Sikuimba wala sikupayuka
Msaada tiba wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITUNi siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua
Sikuimba wala sikupayuka
Msaada tiba wakuu
Asante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisaWAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITU
kama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohoziAsante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisa
Sawa chiefkama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohozi