msaada scholarship za mozambique

Ndugu zangu nimechaguliwa kwenye hz scholarshp bt sijui pakuanzia sijui natakiwa kufanya maandalizi gani nasikia tu chuo mwezi wa kwanza mi nipo mkoani anaejua chochote anijuze tafadhari

sasa na wew mozambique unafuata nn au kujitafutia majanga mwenyewe?? ukimaliza chuo na kuja tz ni kazi ya nani utaifanya kwa kireno?
 
sasa na wew mozambique unafuata nn au kujitafutia majanga mwenyewe?? ukimaliza chuo na kuja tz ni kazi ya nani utaifanya kwa kireno?
ina maana wewe dunia yako ni hii Tanzania,, hujui kwamba kireno ni international language inayoweza kukupa credit ya kuweza kupiga kaz sehem nying dunian,,??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…