MWALIM WA KIJIJINI
Member
- Aug 22, 2013
- 66
- 66
..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu nimechaguliwa kwenye hz scholarshp bt sijui pakuanzia sijui natakiwa kufanya maandalizi gani nasikia tu chuo mwezi wa kwanza mi nipo mkoani anaejua chochote anijuze tafadhari
ina maana wewe dunia yako ni hii Tanzania,, hujui kwamba kireno ni international language inayoweza kukupa credit ya kuweza kupiga kaz sehem nying dunian,,??sasa na wew mozambique unafuata nn au kujitafutia majanga mwenyewe?? ukimaliza chuo na kuja tz ni kazi ya nani utaifanya kwa kireno?