M maseno Member Joined Sep 4, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Sep 30, 2013 #1 Naomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata seedling trays au trei za kitalu kwa ajili ya kuoteshea mbegu za mbogamboga na matunda. Asante.
Naomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata seedling trays au trei za kitalu kwa ajili ya kuoteshea mbegu za mbogamboga na matunda. Asante.
F frajosmal Member Joined Oct 27, 2013 Posts 93 Reaction score 16 Nov 4, 2013 #2 Zinapatikana kama bado unazihitaji. Inabidi uwe more specific kutokana na shughuli unayokusudia kuifanya, kwani zinapatikana hata ambazo ni for heavy duty. Asante Mkuu.
Zinapatikana kama bado unazihitaji. Inabidi uwe more specific kutokana na shughuli unayokusudia kuifanya, kwani zinapatikana hata ambazo ni for heavy duty. Asante Mkuu.
Sabayi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 2,310 Reaction score 999 Nov 5, 2013 #3 Balton Wanazo mkuu kawacheki