Msaada: Seedling Trays/ Trei za kitalu

Msaada: Seedling Trays/ Trei za kitalu

maseno

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Naomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata seedling trays au trei za kitalu kwa ajili ya kuoteshea mbegu za mbogamboga na matunda.
Asante.
 
Zinapatikana kama bado unazihitaji. Inabidi uwe more specific kutokana na shughuli unayokusudia kuifanya, kwani zinapatikana hata ambazo ni for heavy duty.
Asante Mkuu.
 
Back
Top Bottom