Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
Usingojee Ushauri wa watu humu ndani Kama unataka mke wako apone mpeleke Tena Hapo Hospitali walipomfanyia Operesheni na kwa kumtowa nyuzi itakuwa umefanya jambo la maana kuliko kungojea kupewa ushauri. Ushauri mwengine humu jamvini ni bad Advice uwe muangalifu sana.Ni miezi miwili sasa tangu Mke wangu ajifungue kwa njia ya upasuaji.Baada ya wiki 2 hiv kikawa kimepona kabsa kwa juu,la kushangaza ni kuwa ile sehemu baada ya mwezi na wiki 1 kunatokea na vitobo vidogo sana vinavyotoa usaha na baadae hutoa nyuzi,Kwa wale wataalam nisaidieni hapo.