Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
Ni miezi miwili sasa tangu Mke wangu ajifungue kwa njia ya upasuaji.Baada ya wiki 2 hiv kikawa kimepona kabsa kwa juu,la kushangaza ni kuwa ile sehemu baada ya mwezi na wiki 1 kunatokea na vitobo vidogo sana vinavyotoa usaha na baadae hutoa nyuzi,Kwa wale wataalam nisaidieni hapo.