Msaada sehemu ya Haja kubwa inatoka damu

Msaada sehemu ya Haja kubwa inatoka damu

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655

Attachments

  • 1670585852916.png
    1670585852916.png
    39.3 KB · Views: 27
Wewe utakuwa na constipation heavy, afu ukiwa unajisafisha husikii kama kuna kinyama hv au kiuvimbe unakishika kama ni kweli basi Constipation yako imepeleka Haemorhoids (Bawasili)

Unavyofoc kutoa mzigo huko màeneo kinapotokea kinyesi huwa kupo rich supplied na bloodcapillaries vinapasuka na ndio maana unaona damu ila yote kwa yote fika hosptal mzee wakukague vizuri hilo tundu
 
Habari zenu wakuu

Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Uwe unakunywa maji meng il kulainisha mzigo na uzingatie utaratibu wa ulaji...kula matunda kwa wing kidogo kama papai....!! Itakaa sawa
 
Wewe utakuwa na constipation heavy, afu ukiwa unajisafisha husikii kama kuna kinyama hv au kiuvimbe unakishika kama ni kweli basi Constipation yako imepeleka Haemorhoids (Bawasili)..
Dunia hii changamoto haziishii linatoka hili linaingia hili.

Mkuu kinyama kile hakijatoka bado nimesoma Google hapo changamoto ni msosi na maji kwa wingi sasa hali yangu kiuchumi ndio inachangia..

Nashukuru umenipa kitu.
 
Habari zenu wakuu

Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Hii hali ilinitokea kama miezi 2 hivi sasa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kushuhudia kitu kama hicho aisee asikwambie mtu kidogo nizimie kwa hofu tu ya kujiuliza hiki ni kitu gani na ni ugonjwa wa aina gani.

Nilijikaza kiume hivyohivyo hadi kesho yake hali ile ikapotea yenyewe
 
Dunia hii changamoto haziishii linatoka hili linaingia hili.

Mkuu kinyama kile hakijatoka bado nimesoma Google hapo changamoto ni msosi na maji kwa wingi sasa hali yangu kiuchumi ndio inachangia..

Nashukuru umenipa kitu.
Kula vyakula laini laini, kunywa maji mengi sana juice ya ukwaju matunda kwa wingi hasa yale yenye nyuzinyuzi mkuu na kama bado kinyesi kigumu waweza tafuta lactulose syrup ni dawa ya maji utumie pia

Choo kikiwa soft hutapata hiyo kadhia mkuu
 
Habari zenu wakuu

Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Hiyo wanita bawasili (haemorrhoids ) na inawezekana hii hali ulikua una experience toka zaman I guess! Ile unapata massive pain baada ya haja.

Sema ulikua una vumilia, with time hii huleta tension kwenye path(njia ya haja) na baadae unapata internal haemorrhoids yaan blood vessels ndan ya rectum zinavimba na as mzigo unavokua mgumu zinapasuka kusababisha excessive bleeding.
 
Embu naomba dalili zingine ukiachana kutoka kwa damu unazoziona

Umri wako nakadhalika...

History haijakamilika
 
Punguza sana vyakula vya ngano hasa mikate maandazi n.k

Ongeza matunda..mboga za majani..kunywa maji kwa wingi..au pendelea kunywa juis ama mtindi unapo kula.

Pole sana mkuu.

#MaendeleoHayanaChama
Your correct brother msosi wangu ni chapati mbili maharage daily.
 
Kuna baadhi ya vitu si vya kuomba ushauri mtandaoni mkuu. Ni swala kukimbia hospitali haraka iwezekenavyo.
kakueleza lakini hapo kuwa hali yake kiuchumi siyo njema, ndiyo maana anakula msosi mmoja per day chapati mbili na maharage kila siku...!

Pole sana mkuu, Kunywa maji ya kutosha na fuata ushauri wa wadau with time naamini utakuwa sawa..!
 
Back
Top Bottom