Msaada sehemu ya Haja kubwa inatoka damu

Msaada sehemu ya Haja kubwa inatoka damu

kakueleza lakini hapo kuwa hali yake kiuchumi siyo njema, ndiyo maana anakula msosi mmoja per day chapati mbili na maharage kila siku...!

Pole sana mkuu, Kunywa maji ya kutosha na fuata ushauri wa wadau with time naamini utakuwa sawa..!
Mwalimu wangu nilifikiri utaomba namba ufanye muamala wa kumrekebishia ratiba ya msosi
 
Dunia hii changamoto haziishii linatoka hili linaingia hili.

Mkuu kinyama kile hakijatoka bado nimesoma Google hapo changamoto ni msosi na maji kwa wingi sasa hali yangu kiuchumi ndio inachangia..

Nashukuru umenipa kitu.
Duh pole sana
 
Back
Top Bottom