MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Uwe unakunywa maji meng il kulainisha mzigo na uzingatie utaratibu wa ulaji...kula matunda kwa wing kidogo kama papai....!! Itakaa sawaHabari zenu wakuu
Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Dunia hii changamoto haziishii linatoka hili linaingia hili.Wewe utakuwa na constipation heavy, afu ukiwa unajisafisha husikii kama kuna kinyama hv au kiuvimbe unakishika kama ni kweli basi Constipation yako imepeleka Haemorhoids (Bawasili)..
Hii hali ilinitokea kama miezi 2 hivi sasa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kushuhudia kitu kama hicho aisee asikwambie mtu kidogo nizimie kwa hofu tu ya kujiuliza hiki ni kitu gani na ni ugonjwa wa aina gani.Habari zenu wakuu
Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Kula vyakula laini laini, kunywa maji mengi sana juice ya ukwaju matunda kwa wingi hasa yale yenye nyuzinyuzi mkuu na kama bado kinyesi kigumu waweza tafuta lactulose syrup ni dawa ya maji utumie piaDunia hii changamoto haziishii linatoka hili linaingia hili.
Mkuu kinyama kile hakijatoka bado nimesoma Google hapo changamoto ni msosi na maji kwa wingi sasa hali yangu kiuchumi ndio inachangia..
Nashukuru umenipa kitu.
wewe jinsi gani samahani lakiniHabari zenu wakuu
Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
wewe ndiyo unafaaa kuwa humu umemuelewa mtoa mada tatizo lakeMdogo wangu mambo magumu ila usikate tamaa nitumie namba yako PM nikuwekee pesa kidogo.
Hiyo wanita bawasili (haemorrhoids ) na inawezekana hii hali ulikua una experience toka zaman I guess! Ile unapata massive pain baada ya haja.Habari zenu wakuu
Iko hivi jana usiku wakati najisaidia haja kubwa kilitoka kikosi kazi(kinyesi) kigumu theni baada ya hapo damu zilianza kutoka kama bomba la maji limekatwa koki nimeogopa sana...
Mimi Me mkuu..... Najuta kuzaliwawewe jinsi gani samahani lakini
Age 26Embu naomba dalili zingine ukiachana kutoka kwa damu unazoziona
Umri wako nakadhalika...
History haijakamilika
Your correct brother msosi wangu ni chapati mbili maharage daily.Punguza sana vyakula vya ngano hasa mikate maandazi n.k
Ongeza matunda..mboga za majani..kunywa maji kwa wingi..au pendelea kunywa juis ama mtindi unapo kula.
Pole sana mkuu.
#MaendeleoHayanaChama
Mungu amuweke sana....kiukweli jamaa kanitumia 8k leo nitakula vizuri kidogo.wewe ndiyo unafaaa kuwa humu umemuelewa mtoa mada tatizo lake
Hospitali kipato ndugu...mbona nimejua chanzo na nini cha kufanya.Kuna baadhi ya vitu si vya kuomba ushauri mtandaoni mkuu. Ni swala kukimbia hospitali haraka iwezekenavyo.
kakueleza lakini hapo kuwa hali yake kiuchumi siyo njema, ndiyo maana anakula msosi mmoja per day chapati mbili na maharage kila siku...!Kuna baadhi ya vitu si vya kuomba ushauri mtandaoni mkuu. Ni swala kukimbia hospitali haraka iwezekenavyo.