Ingia GoogleJamani nimeagiza mizigo kadhaa aliexpress but imekuja na hizi tracking number zinazoanzia na TZ001......
Hapa nashindwa kuelewa hizi nazipokelea wapi maana posta wenyewe wanasema hizo sio tracking zao na mzigo haujatumwa kupitia posta
Jee mizigo kama hii nitaipokelea wapi?
Kampuni ulio tumia kuagizaKivipi
Google agent wao kwa mahali ulipo.Hawa wapo wapi kuna ambayo imefika tokea tarehe 9 mkuu
Labda kuna uzembe upande wao.Mimi hata simu hapigi maana natrack naambiwa eti anapiga sipatikani wakati nimejaza namba za simu pale na zipo active
Kama unayo mawasiliano wacheki.Mimi hata simu hapigi maana natrack naambiwa eti anapiga sipatikani wakati nimejaza namba za simu pale na zipo active
Kuna uzembe mkubwa sana maana kaandika kwamba anapiga simu haipatikani wakati nipo active muda wote na mzigo nimejaza namba za simu tatu na zote zipo active muda woteLabda kuna uzembe upande wao.
Sema huu huyu courier changamoto ninayoona ikitokea mizigo imepotea au yahitaji kufuatiliwa kuna walakini kidogo, kwasababu hata osifi zao rasmi hazijulikani ni wapi, kwa hiyo tunasonga nao ki Mungu Mungu tu.
Hawajajipanga tu.Kuna uzembe mkubwa sana maana kaandika kwamba anapiga simu haipatikani wakati nipo active muda wote na mzigo nimejaza namba za simu tatu na zote zipo active muda woteView attachment 2454044
Nimempigia anasema wanakataza mtu kuifata mwenyewe eti wanang'ang'ania kudeliva......Waandikie e-mail hao wachina, pia mwambie aliyetuma mzigo changamoto unayo kutana nayo, kama ina wezekana akupe address ya ofisi za dar uende mwenyewe
Wadanganye niliwasiliana na hq wame niruhusu kuja kufata na ni baada ya kuona mmeandika sipatkani na mzigo umechukua muda mrefuNimempigia anasema wanakataza mtu kuifata mwenyewe eti wanang'ang'ania kudeliva....
Ok, muulize lini, mwambie una safari ya kikazi... huna muda dsm...Kabisa nimewasiliana nae akasema et ataleta free