MSAADA: Sehemu ya kuchukulia mzigo yenye tracking namba zinazoanzia na TZ001 AliExpress

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Wakuu mimi nakiri mimi ni mzoefu kiasi katika kuagiza bidhaa mtandaoni ila hii kwangu ni ngeni.

Nimeagiza vitu kadhaa vimekuja na tracking namba inayoanzia na TZ001, Posta wenyewe nimeenda wanasema hawazijui hizo tracking, natrack mzigo umefika lakini sielewi pa kuuchukulia ni wapi!

Msaada tafadhali.
 
Jamani nimeagiza mizigo kadhaa aliexpress but imekuja na hizi tracking number zinazoanzia na TZ001......

Hapa nashindwa kuelewa hizi nazipokelea wapi maana posta wenyewe wanasema hizo sio tracking zao na mzigo haujatumwa kupitia posta

Jee mizigo kama hii nitaipokelea wapi?
 
Ingia Google
 
Google agent wao kwa mahali ulipo.

Mkoa nilipo huwa wananipigia simu, wananiletea nalipia tu boda ya aftatu.
Mimi hata simu hapigi maana natrack naambiwa eti anapiga sipatikani wakati nimejaza namba za simu pale na zipo active
 
Labda kuna uzembe upande wao.

Sema huu huyu courier changamoto ninayoona ikitokea mizigo imepotea au yahitaji kufuatiliwa kuna walakini kidogo, kwasababu hata osifi zao rasmi hazijulikani ni wapi, kwa hiyo tunasonga nao ki Mungu Mungu tu.
 
Kuna uzembe mkubwa sana maana kaandika kwamba anapiga simu haipatikani wakati nipo active muda wote na mzigo nimejaza namba za simu tatu na zote zipo active muda wote
Screenshot_20221222-003754.jpg
 
Waandikie e-mail hao wachina, pia mwambie aliyetuma mzigo changamoto unayo kutana nayo, kama ina wezekana akupe address ya ofisi za dar uende mwenyewe
 
Kabisa nimewasiliana nae akasema et ataleta free
 
Waandikie e-mail hao wachina, pia mwambie aliyetuma mzigo changamoto unayo kutana nayo, kama ina wezekana akupe address ya ofisi za dar uende mwenyewe
Nimempigia anasema wanakataza mtu kuifata mwenyewe eti wanang'ang'ania kudeliva......
 
Nimempigia anasema wanakataza mtu kuifata mwenyewe eti wanang'ang'ania kudeliva....
Wadanganye niliwasiliana na hq wame niruhusu kuja kufata na ni baada ya kuona mmeandika sipatkani na mzigo umechukua muda mrefu
 
Back
Top Bottom